Kwa wale wenye uzoefu wa bima mitandaoni naomba msaada wa maelezo.
Kuna gari ilikuwa gereji kwa muda imepona inahitajika bima (thirdy party), mlipaji hana fedha taslimu ya kulipia bima,anataka kulipia kwa instalments.
Je, ni kiwango gani cha chini cha pesa angalau na aina ya insurance provider anaweza lipia mtandaoni akapata sticker? Kuepuka faini?