Msaada tafadhali kuhusu vazi hili la Diamond

Msaada tafadhali kuhusu vazi hili la Diamond

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,662
Reaction score
3,715
Salama wadau?
Anayejua bei ya hili vazi naomba aniambie.
Pia naomba ushauri, vipi linafaa au linapendeza kwa harusi?

4a80a65c7a4e7687532915e4fe2f87a7.jpg
 
aende kuuliza kwenye vigodoro mitaani kwetu huku.......
Mkuu hukutakiwa kuwa mkali namna hiyo. Sioni kosa la mleta mada.

You don't have to be unkind to that extent. Kama kitu hujui basi unakaa kimya tu. Kwani utapungukiwa nn? Au kwa kuwa tunatumia fake names hatujuani ndio maana?? Kuwa mwema, it doesn't cost anything.
 
kuna baadhi ya wabongo ni waajabu sanaaaa....hivi ww bei zake ukijua itakusaidia nini??????
hivi ww unaacha kufatilia bei ya dona...unafatilia upuuzi wa mtu na life lake..
acha hizo mkuuuu
Acha kupanikii na wew kwanii watu huish kwa ajilii ya donaa tu!?, au kisa kauliza diamond!?[emoji1] [emoji1] [emoji108]
 
kuna baadhi ya wabongo ni waajabu sanaaaa....hivi ww bei zake ukijua itakusaidia nini??????
hivi ww unaacha kufatilia bei ya dona...unafatilia upuuzi wa mtu na life lake..
acha hizo mkuuuu
Vipi jamaa mbona unakurupuka. Hivi unafikiri kila mtu anaishi kama wewe? Kila mtu anawaza dona kama wewe? evansGREATDeal
 
Acha kupanikii na wew kwanii watu huish kwa ajilii ya donaa tu!?, au kisa kauliza diamond!?[emoji1] [emoji1] [emoji108]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa hawazi lingine zaidi ya dona. Mbaya zaidi anataka kila mtu awaze dona. Ana stress kweli
 
Back
Top Bottom