yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
AsanteUkiuliza wahindi kwenye maduka yao ninauhakika watakusaidia.
Harusini ni uamuzi wako na sherehe ilivyo.
Shilawadu? [emoji144] [emoji144] [emoji144]Salama wadau?
Anayejua bei ya hili vazi naomba aniambie.
Pia naomba ushauri, vipi linafaa au linapendeza kwa harusi?
Mwenzako anataka akavae kwenye harusikuna baadhi ya wabongo ni waajabu sanaaaa....hivi ww bei zake ukijua itakusaidia nini??????
hivi ww unaacha kufatilia bei ya dona...unafatilia upuuzi wa mtu na life lake..
acha hizo mkuuuu
Mkuu hukutakiwa kuwa mkali namna hiyo. Sioni kosa la mleta mada.aende kuuliza kwenye vigodoro mitaani kwetu huku.......
I think anajaribu kuteka soko la akina ''KANJIBAH'' mhhh just a guess, ila big up kwa mama tifa.Salama wadau?
Anayejua bei ya hili vazi naomba aniambie.
Pia naomba ushauri, vipi linafaa au linapendeza kwa harusi?
Acha kupanikii na wew kwanii watu huish kwa ajilii ya donaa tu!?, au kisa kauliza diamond!?[emoji1] [emoji1] [emoji108]kuna baadhi ya wabongo ni waajabu sanaaaa....hivi ww bei zake ukijua itakusaidia nini??????
hivi ww unaacha kufatilia bei ya dona...unafatilia upuuzi wa mtu na life lake..
acha hizo mkuuuu
Hakuna baraghashia hapo au uzijui baraghashia?Sijapenda baraghashia
Vipi jamaa mbona unakurupuka. Hivi unafikiri kila mtu anaishi kama wewe? Kila mtu anawaza dona kama wewe? evansGREATDealkuna baadhi ya wabongo ni waajabu sanaaaa....hivi ww bei zake ukijua itakusaidia nini??????
hivi ww unaacha kufatilia bei ya dona...unafatilia upuuzi wa mtu na life lake..
acha hizo mkuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa hawazi lingine zaidi ya dona. Mbaya zaidi anataka kila mtu awaze dona. Ana stress kweliAcha kupanikii na wew kwanii watu huish kwa ajilii ya donaa tu!?, au kisa kauliza diamond!?[emoji1] [emoji1] [emoji108]
Ni zuri mkuu lafaa lkn ujiangalie na sura yako isije onekana kama kanzu nzuri imevaliwa vibayaSalama wadau?
Anayejua bei ya hili vazi naomba aniambie.
Pia naomba ushauri, vipi linafaa au linapendeza kwa harusi?
[emoji23] [emoji23] vipi mkuu unajua bei yake?Ni zuri mkuu lafaa lkn ujiangalie na sura yako isije onekana kama kanzu nzuri imevaliwa na
Mkuu sijajua bei ila kuna jamaa aliwahi vaa kanzu ya kihindi sio kama hii alinunua laki unusu sasa material hii sijajua.[emoji23] [emoji23] vipi mkuu unajua bei yake?
Anataka kununua, siyo kuwa anamfuatilia diamondkuna baadhi ya wabongo ni waajabu sanaaaa....hivi ww bei zake ukijua itakusaidia nini??????
hivi ww unaacha kufatilia bei ya dona...unafatilia upuuzi wa mtu na life lake..
acha hizo mkuuuu
Kama una access nayo, usifikirie wote wako kama wewe, wengine watu wa shambani kwelikweli. Msaidie kama unajuaaende kuuliza kwenye vigodoro mitaani kwetu huku.......
Asante mkuuMkuu sijajua bei ila kuna jamaa aliwahi vaa kanzu ya kihindi sio kama hii alinunua laki unusu sasa material hii sijajua.