Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 594
- 291
Kama mimi niliwafuata wakanambia ninunue cret 15 na inabidi uwe na tin number na leseni ili wajiridhishe nawewe wawe wanakutembelea kuja kuangalia kama hujabadilisha matumizi.Habar wakuu.! Nahitaji friji la kampuni ya PEPSI, sasa sijui taratibu za wale jamaa wa PEPSI maana nasikia wanatoa bure, mwenye kujua taratibu zao naomba anifahamishe au kama kuna mtu analo ila halitumii.naishi Dar es salaam
Mimi nina carwash na ina leseni kabisa sasa wateja wangu wanalalamika vinywaji unataka niwawekee. Sasa leseni ya carwash naweza nikaitumia?Kama mimi niliwafuata wakanambia ninunue cret 15 na inabidi uwe na tin number na leseni ili wajiridhishe nawewe wawe wanakutembelea kuja kuangalia kama hujabadilisha matumizi.
mzee hapo kwenye carwash tafadhari share uzoefu kidogo nipo interested na biasharaMimi nina carwash na ina leseni kabisa sasa wateja wangu wanalalamika vinywaji unataka niwawekee. Sasa leseni ya carwash naweza nikaitumia?
Ukipata sehemu nzuri carwash inalipa mkuu, na ukipata vijana wanaopiga kazi vizuri na waaminifu katika kazi. Vifaa kariakoo vipo vingi tu mfano uwe na mashine ya kunyonyea vumbi, na mashine ya kupigia maji. Na vitu vidogo vidogo kama polish, airfresh, waxmzee hapo kwenye carwash tafadhari share uzoefu kidogo nipo interested na biashara
Ila sijui mwanzo wala mwisho. Naomba mchanganuo wa gharama za vifaa na wapi vinapatikana kwa urahisi, asante.