mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Mambo vipi wapendwa wa love connect?
Leo nimekuja na hoja moja inayotatiza kichwa change
Huwa tunaambiwa kuwa wanaume ni wachache kuliko wanawake , tena wengine wanaenda mbali kusema kuwa ni kama 66% ni wanawake alaf 33% ni wanaume
Je hoja hii ina mashiko kias gani?
Au nimwamini prof Tibaijuka kuwa wanaume na wanawake ni sawa?
Na kwanini kwenye forum kama hizi wanaume ndio wanaotafta Wachumba?
Ilihali formula ya biashara ni kuwa low supply ina increase demand
Si ilitakiwa wanaume tutafutwe?
Msaada tafadhali