mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Hao wanawake wa wapi walioumbwa hivyo? Please specify your justification.Mkuu hata nyanya ziwe nyingi vipi haziwezi kuja nyumbani kwako zenyewe, lazima uzifuate ukanunue. Simaanishi wanawake ni kama bidhaa ila mwanaume ameumbwa kutafuta mahusiano kuliko mwanamke.
Kwani wanaume pia hakuna wenye vigezo ulivyotaja? Kama ndivyo je tofauti ni ipi? Please consider to be objective and not subjective.Kiukweli katika idadi yote ya wanawake duniani, si kweli kuwa wote wapo available kwaajiri ya mahusiano. Sababu humo ndani ya idadi, kuna wake, za watu, kuna masista, kuna wanawake wazee, kuna watoto wadogo ambao hawaja uka hata miaka14, kuna wanawake wabaya wa sura, kuna wabaya wa maumbile na sura, kuna wanawake, ambao wanamatatizo ya kiafya, kuna wale ambao wamezaa watoto tayari, kuna ambao hawajafika umri wa mahusiano yaani chini ya miaka 14, so sio kweli kuwa idadi ya wanawake ambao ni available na wanavigezo vya asilimia kubwa ya kufanya mahusiano wapo wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
๐๐๐๐hapo kwenye wabaya wa sura na maumbile utawaudhi watuKiukweli katika idadi yote ya wanawake duniani, si kweli kuwa wote wapo available kwaajiri ya mahusiano. Sababu humo ndani ya idadi, kuna wake, za watu, kuna masista, kuna wanawake wazee, kuna watoto wadogo ambao hawaja uka hata miaka14, kuna wanawake wabaya wa sura, kuna wabaya wa maumbile na sura, kuna wanawake, ambao wanamatatizo ya kiafya, kuna wale ambao wamezaa watoto tayari, kuna ambao hawajafika umri wa mahusiano yaani chini ya miaka 14, so sio kweli kuwa idadi ya wanawake ambao ni available na wanavigezo vya asilimia kubwa ya kufanya mahusiano wapo wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app