kakamukubwa
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 203
- 27
Jaman mwenzi wangu anaumwa,Yeye akikaribia siku zake huumwa tumbo mbaya,na hata anapokuwa kwa siku tumbo humuuma sana,kibaya zaidi yeye huenda siku na anapo maliza anaweza kaa siku 3 ikashuka tena..wadau wenye ujuzi huu Msaada tafadhari.