K kakamukubwa JF-Expert Member Joined Apr 23, 2012 Posts 203 Reaction score 27 Sep 23, 2012 #1 Jaman mwenzi wangu anaumwa,Yeye akikaribia siku zake huumwa tumbo mbaya,na hata anapokuwa kwa siku tumbo humuuma sana,kibaya zaidi yeye huenda siku na anapo maliza anaweza kaa siku 3 ikashuka tena..wadau wenye ujuzi huu Msaada tafadhari.
Jaman mwenzi wangu anaumwa,Yeye akikaribia siku zake huumwa tumbo mbaya,na hata anapokuwa kwa siku tumbo humuuma sana,kibaya zaidi yeye huenda siku na anapo maliza anaweza kaa siku 3 ikashuka tena..wadau wenye ujuzi huu Msaada tafadhari.