Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau heshima kwenu, naombeni kwa anemfahamu specialist mzuri wa macho, msaada tafadhali, nina nyama zimeota pembeni ya mboni ya jicho, nilienda CCBRT, walinipatia dawa lakini naona hazijasaidia kitu, ndo natafuta alternative docta
Nashukuru sana mkuuWasiliana eye specialist, ophthalmologist Dr. Gelema H, simu namba 0713747420 anapatikana Msasani ana clinic yake hapo. Pole sana
komaa na CCBRT manake hata mie nina matatizo ya macho kwa upande wa kuona mbali, nilizunguka sana clinic mbalimbali za macho lkn sikufanikiwa ila CCBRT walizitahidi kulipungunza tatizo.