Msaada tafadhali kwa anayejua dawa

Msaada tafadhali kwa anayejua dawa

VM White

Member
Joined
Jun 26, 2017
Posts
11
Reaction score
3
Mtoto wangu ana miez miwili leo cku ya pili anajisaidia marenda renda mara kwa mara japo Co mengi lakn imekuwa too much, nimpatie dawa gan ili iache hali hiyo? Au ni kawaida nipo njia Panda.
 
Kienyeji tunasema ni madonda yanafuata mgongo, baada ya muda yataonekana kwa anus. Kama uko mjini wahi hospital. Ila kama upo kijijini waone WAZEE, wana dawa nzuri sana za kiafrika.
 
Sawa, Ngoja niwai ospital coz nilihis labda kawaida mana haumwi. Nashkuru mpndwa
 
Kinasababishwa na nn labda naomba kuelewa
Nendeni hospitali inawezekana ni infection watoto immune system yao inakuwa taratibu. Hakikisha unaendelea kumnyonyesha asipungukiwe na maji mwilini. Angalia vyakula unavyokula kama unanyonyesha na weka mazingira ya usafi ikiwezekana osha manyo nyo kabla ya kunyonyesha.
 
Asante
 
1 acha mungegeda shemu kama unagegeda.

2 mwambie shemeji asiwape watu hovyo,kama hao watu wamegegedana bila kuoga wanaleta joto baya wakimkamata mtoto.

3 pia nenda hospital ya serikali ukawaelezee watakupa msaada mtt wetu kipenzi atakua shwali
 
Asante kwa ushaur,
 
Kienyeji tunasema ni madonda yanafuata mgongo, baada ya muda yataonekana kwa anus. Kama uko mjini wahi hospital. Ila kama upo kijijini waone WAZEE, wana dawa nzuri sana za kiafrika.
Aisee hili tatizo kwangu limekuwa sugu,hospitali napima hawaoni kitu,lkn mm nasumbuliwa na hii kitu,
Nimemeza sana kila aina ya dawa za minyoo na za tumbo hadi nimesarenda,kifupi nakerwa sana na ugonjwa huu,napata choo inakamasi kamasi kibao,
 
Back
Top Bottom