Msaada tafadhali kwa wenye ufahamu/uelewa

Msaada tafadhali kwa wenye ufahamu/uelewa

kibol

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2012
Posts
4,521
Reaction score
2,747
Kuna ndugu yangu kanitumia hii niibadili kwa kiingereza nimeshindwa hivyo nahitaji msaada wenu ktk kuitranslate from kiswahili to kiingereza "baba mimi ni mtoto wako wangapi?...naomba nisaidiwe jamani kwa waliobobea ktk lugha iyo ya malkia
 
Kaulize facebook kwa watoto wenzio

busara itumike kidogo Head teacher,mimi sio mtoto kama unavyofikiria,am 33 nani baba wa mtoto 1 hivyo unavyonifananisha na watoto wa fb unanidhalilisha,kama hujui ni bora kukaa kimya mkuu,sio lazima kila post u-comment.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kibol,

nadhani ingekuwa vyema uka-search kwanza kabla ya kui-post hiyo kitu, maana imekwisha rudiwa rudiwa sana humu jamvini.
Goodluck.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom