Msaada tafadhali kwenye freelancing upande wa website development

Roy Keane

Member
Joined
Oct 29, 2020
Posts
98
Reaction score
204
Nimeunda gig yangu ya kwanza huko fiverr kuhusu website development, sasa ambacho nataka kufahamu wakuu ni je

- Website ya mteja nampatia ikiwa hosted tayari ama nampa source codes?
-Kama nampatia ikiwa hosted, gharama za domain na hosting inabidi niwe nimezijumuisha kwenye cost ya kazi yangu ?

Msaada tafadhali
 
Mkuu inabidi urudi shule Tena. Kama wewe ndio umeshughulikia akapata hosting na ukalipia si biashara kama nyingine tu,inabidi akulipe Tena Kwa Bei ya juu Ili upate faida. Kuhusu domain Sina uhakika kama unaweza ukawa na uwezo wa kucreate domain wewe, mwelekeze alipie kwenye kampuni husika yenye kazi hiyo
 
Hayo ni makubaliano yenu..
Mweleweshe kuna kuhost na gharama zake ni hizi kama unataka nikuhostie au
ukahost mwenyewe.
 
Mkuu inabidi urudi shule Tena. Kama wewe ndio umeshughulikia akapata hosting na ukalipia si biashara kama nyingine tu,inabidi akulipe Tena Kwa Bei ya juu Ili upate faida. Kuhusu domain Sina uhakika kama unaweza ukawa na uwezo wa kucreate domain wewe, mwelekeze alipie kwenye kampuni husika yenye kazi hiyo
Sijakuelewa kabisa, swali langu ni kwamba je ninampatia mteja website ikiwa hosted ? Na Kama ndio hivyo gharama za hosting ni kwa nani?
 
Mimi nilicontract mtu kunitengenezea website, nilimwambia alete gharama zake zote Lila item, nikamlipa hela yote,hosting akalipia Kwa hela hiyohiyo. Biashara ni kumake profit Mkuu! Kama hosting ni laki 1 wewe unatakiwa ulete makisio ya juu kidogo ili ufidie muda na pilikapilika zako za kushughulikia hosting. Hii yote ni kwasababu hutuandaliwa vizuri kujiajiri! Mitaala ya vyuo vikuu inapaswa kuangaliwa upya.
 
Nimeunda gig yangu ya kwanza huko fiverr kuhusu website development, sasa ambacho nataka kufahamu wakuu ni je

- Website ya mteja nampatia ikiwa hosted tayari ama nampa source codes?
-Kama nampatia ikiwa hosted, gharama za domain na hosting inabidi niwe nimezijumuisha kwenye cost ya kazi yangu ?

Msaada tafadhali
Angalia freelancers wenzako wanavyo fanya
 
Siku ya 3 sasa naona gig yangu haina impression Wala click. Nyie wengine mnafanyaje gigs zenu zionekane?
 
Back
Top Bottom