Msaada tafadhali kwenye tatizo hili

Msaada tafadhali kwenye tatizo hili

Twissa

Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
30
Reaction score
6
Habari,
Naomba msaada wenu katika hili, kila nikitaka kubadilisha mafuta ya kupaka usoni natokewa na harara nimeuliza kwa baadhi ya watu wananambia ni kawaida eti ngozi ikishazoea hayo mafuta nayotaka kubadilisha harara zitaisha kwahiyo niendelee kupaka hivo hivo naombeni kujua kuna ukweli wowote hapo?
 
Back
Top Bottom