Hotuba za Mnyonge Member Joined Jan 5, 2014 Posts 23 Reaction score 8 Mar 11, 2014 #1 Kwa bahati jana niliona post yenye link za materials kwa njia ya video, Ila leo nimetulia ilinizifuatilie sizioni tena. Tafadhali aliyeweka au anayejua zilipo anijulishe pls!
Kwa bahati jana niliona post yenye link za materials kwa njia ya video, Ila leo nimetulia ilinizifuatilie sizioni tena. Tafadhali aliyeweka au anayejua zilipo anijulishe pls!
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,909 Reaction score 2,115 Mar 11, 2014 #2 Kwa nini usiingie you tube tu uangalie unacho taka? Mimi huwa nnatumia you tube na nnaelewa vizuri tu.
Kwa nini usiingie you tube tu uangalie unacho taka? Mimi huwa nnatumia you tube na nnaelewa vizuri tu.