Msaada tafadhali, mabaka meusi usoni niyaondoaje?

Msaada tafadhali, mabaka meusi usoni niyaondoaje?

Al_maktum

Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
31
Reaction score
25
Kwa asili mimi ni mweupe lakini kuna hali ya weusi kwenye paji la uso hali inayofanya kuwa na rangi mbili. Kwa mtaalamu mwenye uzoefu na hii hali maana JF ina watanashati wengi tuelimishane ni sabuni au mafuta gani yataondoa hii hali ya mabaka, nimejaribu apricot scub sioni matokeo.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom