Niko Arusha. Mamaangu alisafishwa kizazi 2001,na 2010 akawa anaanahisi maumivu ya tumbo chini ya kitovu. Akaenda kupima Seliani,akaambiwa anakidonda kwenye mfuko wa kizazi.
Akapewa dawa atumie,lkn dawa hizo zimekuwa zikituliza maumivu siku kadhaa tu,baada ya hapo maumivu hurudi kama kawaida. Naombeni msaada kama unamfahamu mtaalam au kama una dawa zinazoweza kumsaidia.