malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Habari wanajf,
Nimekuwa na maumivu ya mgongo kwa siku tano sasa, hasa katikati ya mgongo upande wa kushoto. Maumivu huongezeka ninapokaa, kusimama, au nikiinamisha kichwa chini au kuangalia juu. Pia, maumivu hujitokeza hata ninapolala au kukaa.
Naomba ushauri, je, hali hii inahitaji matibabu ya haraka, au kuna njia za kupunguza maumivu haya?
Asanteni.