malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Pingili zinakua zimefanyajeHilo ni tatizo la pingiri, nakushauri wahi hospitali mapema.
Imetoka/ imechomoza kidogo katika mpangilio wake...Pingili zinakua zimefanyaje
Huwa inarudishika amaImetoka/ imechomoza kidogo katika mpangilio wake...
Yaah kafanye vipimo kwanza, wataalam waone position ya hiyo pingili watajua aina ya tiba inayofaa.Huwa inarudishika ama
Huwa unafanya mazoezi?, kama unafanya mazoezi ukinyooshwa mgongo na mtu asiye mtalam unaweza pata tatizo hilo...ndugu yangu alikuwa na tatizo hili, alipata tiba huko India.Huwa inarudishika ama
Huwa sifanyi mazoeziHuwa unafanya mazoezi?, kama unafanya mazoezi ukinyooshwa mgongo na mtu asiye mtalam unaweza pata tatizo hilo...ndugu yangu alikuwa na tatizo hili, alipata tiba huko India.
Habari wanajf,
Nimekuwa na maumivu ya mgongo kwa siku tano sasa, hasa katikati ya mgongo upande wa kushoto. Maumivu huongezeka ninapokaa, kusimama, au nikiinamisha kichwa chini au kuangalia juu. Pia, maumivu hujitokeza hata ninapolala au kukaa.
Naomba ushauri, je, hali hii inahitaji matibabu ya haraka, au kuna njia za kupunguza maumivu haya?
Asanteni.
Nimefanya ecg Iko hivoPole sana.
Maumivu ya shingo huashiria tatizo katika misuli shingo au mifupa (pingili) za shingo nk.
Kwa hiyo ni vyema ukafika kwa daktari ufanyiwe uchunguzi na vipimo ili kubaini tatizo linalokusumbua na hatimaye kupatiwa matibabu sahihi.
Kila la kheri.