Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Habari za leo wanajamvi..
Ninasumbuliwa sana na maumivu ya mkono wa kushoto yaani unauma hasa wakati wa usiku, sijajigonga mahali au kuulalia vibaya hapana umeanza tu kuuma muda sasa. Maumivu yanakuwa yanatembea hv na kama kufa ganzi fulani.
Je inawezekana nikawa na matatizo ya moyo?
Dawa za kuchua zinaweza kunisaidia?
Naomba msaada..