Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Yap hicho ndo nilichokuwa nahitaji...Pole mkuu.
Mwone daktari kwa uhakika wa ushauri na matibabu.
Ila sio vibaya kwa yeyote jamvini hapa mwenye uelewa au taaluma ya udaktari akampa huduma ya kwanza (kimawazo) kaba ya kufika hosipitalini.
Asante kwa ushauri...nenda hospitali chief,
ss hiyo dawa ya kuchua utaipaka mkono mzimaa!!?
kuna vitu vya kufanyaHabari za leo wanajamvi..
Ninasumbuliwa sana na maumivu ya mkono wa kushoto yaani unauma hasa wakati wa usiku, sijajigonga mahali au kuulalia vibaya hapana umeanza tu kuuma muda sasa. Maumivu yanakuwa yanatembea hv na kama kufa ganzi fulani.
Je inawezekana nikawa na matatizo ya moyo?
Dawa za kuchua zinaweza kunisaidia?
Naomba msaada..
Ondoa wasiwasi hizo ni condition za kawaida sana, wala usianze kuwaza matatizo ya moyo. Hapo tafuta capsules piroxicam utumie siku tano hayo maumivu hauta yasikia, by the way usiache kufika hospital ili kujiridhisha30+ na nina 66kg
Sawa, nashukuru sana mkuu. UbarikiweOndoa wasiwasi hizo ni condition za kawaida sana, wala usianze kuwaza matatizo ya moyo. Hapo tafuta capsules piroxicam utumie siku tano hayo maumivu hauta yasikia, by the way usiache kufika hospital ili kujiridhisha
[emoji106]Sawa, nashukuru sana mkuu. Ubarikiwe
Nimekuelewa mkuuondoa wasiwasi baada ya kufanya vipimo na na viseme negative......hiyo sio normal so usije ambiwa umechelewa