Wadau habari,jamani ndugu zangu nimekuja hapa jukwaani kuomba ushauri wenu,nina mwanangu ana miaka miwili,alikua hospital wiki iliyopita na alilazwa kwa siku tano kwa ajili ya malaria na asthma!wakamtoa siku ya jumamosi na kurudi nyumbani!cha ajabu toka jana usiku,mpaka hivi sasa mtoto analia tu mfululizo bila kustop,tumempeleka hospital na tumecheck kila kitu wanasema hana tatizo!hapa tumebaki kuchanganyikiwa tu,maana hatujui nini cha ziada kuweza kumsaidia!kwa mwenye msaada wa kimawazo wandugu tunaomba sana tena sana atusaidie