Msaada tafadhali, mwenye kujua majina kamili ya wasanii hawa

blackberry m

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
563
Reaction score
414
Salaam wanajukwaa.
Ninaomba yeyote anayefahamu majina
kamili ya wasanii hawa anifahamishe.

1. Snare
2. Jebby
3. Chelea Man
4. Buff G
5. OCG (yule wa Aqwelina)

Natanguliza shukrani
 
Mi ni mmoja ya hao watu unawaouliza hapo juu, kabla sijakujibu nataka kwanza nikujue, wewe jina lako kamili ni nani?
Kama wewe jina lako ni miongoni mwa hao jamaa, sina budi kusema wewe ni mmoja ya vijana waliojaribu fani ya mziki lakin kwa bahati mbaya au nzuri hawakufanikiwa nao.waliangukia pua.

nasema hivo kwasababu ktk hayo majina, hakuna hata mmoja aliyefanikiwa ktk mziki.in shot wewe ni big looser.
 
Acha kukariri. Mtu anayeishi maisha above evarage, nyumbani kwake na familia yake ina furaha unamwita big loser sababu humsikii kwenye Bongo Fleva? Labda dozi unazotumia hazikusaidii.
 
Acha kukariri. Mtu anayeishi maisha above evarage, nyumbani kwake na familia yake ina furaha unamwita big loser sababu humsikii kwenye Bongo Fleva? Labda dozi unazotumia hazikusaidii.

Sasa kama unaishi hivyo, kwanini ulikimbia muziki?
 
Haelewi ukimya wake unawaumiza mashabiki wake
 
Acha kukariri. Mtu anayeishi maisha above evarage, nyumbani kwake na familia yake ina furaha unamwita big loser sababu humsikii kwenye Bongo Fleva? Labda dozi unazotumia hazikusaidii.
pole sana kwa ile post yangu. nilijua lazima uta-panic baada ya kuisoma.ila haindoi ukweli kwamba wewe na hao wenzako ktk yale majina ni big loosers. mziki haukuweza kuwatoa ktk ufukara.

Mshukuru sisi tulioanza kuisikiliza bongofleva tangu inachipuka kipindi hicho ikiitwa "mziki wa rap", ndio tunawakumbuka hata kwa kuwataja kwa majina yenu.

kizazi cha sasa ukumuuliza majina kama OCG, pig black,bwana mkubwa nk hata hawajui.
 
Ukiona show business haikulipi unajaribu njia nyingine, kwenye mihanjo ya maisha kuna michongo mingi ya kutoka sio lazima uandikwe magazetini.

Kama show hazilipi, kwanini usifanye muziki kama starehe?
 
Enzi hizo kulikuwa hakuna mtu anayefanya mziki wa kizazi kipya kama kazi, watu wengi waliokuwa wanaimba walikuwa either bado wanasoma au wanapiga mishe nyingine kuingiza hela. Sana sana ilikuwa hobby au ni njia moja ya vijana to find and express themselves.

Waimba muziki wa kizazi kipya wa enzi zile wengi wako mbele. Usiniulize mimi man maana mpaka uraia nimeshauza, sasa kama hiyo ndio tafsiri yako ya "big looser", basi shikamoo.
 
Waimba muziki wa kizazi kipya wa enzi zile wengi wako mbele. Usiniulize mimi man maana mpaka uraia nimeshauza, sasa kama hiyo ndio tafsiri yako ya "big looser", basi shikamoo.

kuishi kwako mbele na kuukana uraia wa kwenu, hayo ndio mafanikio yako mbadala baada ya ku-fail ktk mziki?.

Hivi ktk zama hizi za utandawazi,kwa kijana wakitz kuishi mbele nayo ni sifa?

basi kama ni sifa, kaa ukijua mimi nishatembelea nchi kadhaa za mbele kama vacation.
 
Sawa lakini swali linakuja.
Wewe ni nani kati ya hao waliotajwa hapo juu?
 
Sasa kitu gani kimekukasirisha kwenye hii mada, ulisema ulijua nta-panic, sasa sijui nani anapanic hapa? Naona unanilisha maneno ambayo sikuyasema, nani aliyesema kuishi mbele nayo ni sifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…