Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
please niwekee link. I have visited the site but no such informationJibu lipo nacre.go.tz na website ya wizara ya ellimu.
#YNWA
Basi nadhani sasa ni kutuma maombi vyuoni. asante. CDTI ndiyo chuo gani? Sorry nimeona tayari Community Develop Tra.. InstMbona pale CDTI tengeru wanaendelea kupokea maombi
Asante kwa maelezo mazuri. Ngoja nimtafute Ndalichako. May be she might help. Unaona kabisa ni uhuni wa NACTE! Mkurugenzi huyu hafai kabisa!kwa kifupi ni kama kuna shida flani sehemu.....ni kama wamekubaliana kutokubaliana!
nilitembelea nacte na katika kutafuta majibu kama hayo yako ya kwanini ni vyuo vya afya pekee nikakutana na jibu kuwa safari hii online application kupitia nacte itakuwa kwa ajili ya vyuo vya afya vya serikali pekee na maombi katika vyuo vingine vyote yapelekwe vuyo husika moja kwa moja.
baada ya kulipata hilo, nikakitafuta chuo flani hivi na kuwasiliana nao. huko nilijibiwa nisubiri kwani chuo chao kitaonekana kama vinavyoonekana hivyo vya afya kuanzia tarehe 01/08/2020. nikashangaa kidogo ingawa nikapata moyo. kuanzia tarehe 1-8(jana)/8/2020 ninachungulia nacte kila dakika hamna kitu......naviona vilevile vya afya!
katika kuendelea kuhangaika na hilo (lengo langu mama ni vyuo vya mifugo), nikajikuta nimekutana na LITA (wakala wa vyuo vya mifugo....niliwapata baada ya kukitafuta chuo husika) na nikaona maelekezo yao mle.......wametoa fomu ya maombi iliyounganisha vyuo vyote vya mifugo; tengeru, madaba, morogoro n.k. nikadowload hiyo fomu ya maombi lakini changamoto kubwa niliyokutana nayo ni kuwa kuna ada ya maombi ambayo unatakiwa uilipe na kuambatanisha pay-in-slip katika fomu yako lakini HAKUNA MAELEKEZO YA AKAUNTI WALA BENKI UNAYOTAKIWA KUILIPIA.....kuna maelekezo ya kiasi tu. nilipanga kesho (jumatatu) niwapigie ili wanielekeze ni wapi tunalipia. nitafanya hivyo kwa kuwa sina namna ingawa nimeanza kupata mashaka kweli ni kwa vipi taasisi kubwa kuwe na vijimakosa vya msingi kama hivyo...(huku kwa mbali nikiwa najiuliza, 'au kuna matapeli wa kimtandao wameingilia kati; wanajua kuwa lazima utawatafuta kupitia namba walizoacha ili wakupige?'). niko a bit confused.
leo mleta mada unavyoniambia kuwa umeanza kuviona vyuo vingine basi nimefarijika, ngoja nami niingie tena huko nione!
Kwa vyuo vya afya! tu! Sasa mtu atavijua vipi vyuo vingine. Kuna watoto wako vijijini ambako hana source of information NACTE ilibidi wafungue vyuo vyote mtu aombe online!mbay zaidi inaonekana mwisho wa maombi ni tarehe 15/8/2020.....siku saba tu zimebaki
ahsante, ni www.lita.go.tzAsante kwa maelezo mazuri. Ngoja nimtafute Ndalichako. May be she might help. Unaona kabisa ni uhuni wa NACTE! Mkurugenzi huyu hafai kabisa!
Naomba hiyo link nipata fomu yao tafadhali sana!
kabisa mkuu, na kwa taarifa niliyoisikia jana kuna wachaguliwa zaidi ya 16,000 hawajathibitisha kuchaguliwa kwao. pamoja na mambo mengine, masuala ya mtandao kutokana na ukijijini wa wengi wao kama ulivyosema yanachangia sana tu. waangalie namna ya kurahisisha hiliKwa vyuo vya afya! tu! Sasa mtu atavijua vipi vyuo vingine. Kuna watoto wako vijijini ambako hana source of information NACTE ilibidi wafungue vyuo vyote mtu aombe online!
Kwani Mkuu bado unasoma..?Kwa vyuo vya afya! tu! Sasa mtu atavijua vipi vyuo vingine. Kuna watoto wako vijijini ambako hana source of information NACTE ilibidi wafungue vyuo vyote mtu aombe online!
Mkuu, kama vyuo vya lita Account ya malipo inakuwa moja tu ya Lita agent na inapatikana kwenye form humohumo.kwa kifupi ni kama kuna shida flani sehemu.....ni kama wamekubaliana kutokubaliana!
nilitembelea nacte na katika kutafuta majibu kama hayo yako ya kwanini ni vyuo vya afya pekee nikakutana na jibu kuwa safari hii online application kupitia nacte itakuwa kwa ajili ya vyuo vya afya vya serikali pekee na maombi katika vyuo vingine vyote yapelekwe vuyo husika moja kwa moja.
baada ya kulipata hilo, nikakitafuta chuo flani hivi na kuwasiliana nao. huko nilijibiwa nisubiri kwani chuo chao kitaonekana kama vinavyoonekana hivyo vya afya kuanzia tarehe 01/08/2020. nikashangaa kidogo ingawa nikapata moyo. kuanzia tarehe 1-8(jana)/8/2020 ninachungulia nacte kila dakika hamna kitu......naviona vilevile vya afya!
katika kuendelea kuhangaika na hilo (lengo langu mama ni vyuo vya mifugo), nikajikuta nimekutana na LITA (wakala wa vyuo vya mifugo....niliwapata baada ya kukitafuta chuo husika) na nikaona maelekezo yao mle.......wametoa fomu ya maombi iliyounganisha vyuo vyote vya mifugo; tengeru, madaba, morogoro n.k. nikadowload hiyo fomu ya maombi lakini changamoto kubwa niliyokutana nayo ni kuwa kuna ada ya maombi ambayo unatakiwa uilipe na kuambatanisha pay-in-slip katika fomu yako lakini HAKUNA MAELEKEZO YA AKAUNTI WALA BENKI UNAYOTAKIWA KUILIPIA.....kuna maelekezo ya kiasi tu. nilipanga kesho (jumatatu) niwapigie ili wanielekeze ni wapi tunalipia. nitafanya hivyo kwa kuwa sina namna ingawa nimeanza kupata mashaka kweli ni kwa vipi taasisi kubwa kuwe na vijimakosa vya msingi kama hivyo...(huku kwa mbali nikiwa najiuliza, 'au kuna matapeli wa kimtandao wameingilia kati; wanajua kuwa lazima utawatafuta kupitia namba walizoacha ili wakupige?'). niko a bit confused.
leo mleta mada unavyoniambia kuwa umeanza kuviona vyuo vingine basi nimefarijika, ngoja nami niingie tena huko nione!
Ndugu jamaa na marafki. Wewe ulishamaliza MATI Mtwara? Naona unapost tu humu!Kwani Mkuu bado unasoma..?
Maana ww kila mwaka kuulizia vyuo tu hahahahahaaaaaa
asanteahsante, ni www.lita.go.tz
Wenzio tumesoma na tumemaliza sasa ww kila mwaka unaulizia vyuo tu mara C.medine,Mara kilimo,mifugo, maendeleo ya jamii..!! kwani hawakuchagui mkuu..?Ndugu jamaa na marafki. Wewe ulishamaliza MATI Mtwara? Naona unapost tu humu!
nimesema ni watoto wa ndugu na jamaa na marafiki, Hujui extended families? Umemaliza Diploma? certificate?Wenzio tumesoma na tumemaliza sasa ww kila mwaka unaulizia vyuo tu mara C.medine,Mara kilimo,mifugo, maendeleo ya jamii..!! kwani hawakuchagui mkuu..?
Hahahahaha dilisha linakalibia kufungwa sisi huku full pressure tuuh tarehe 26 /8/2020 majina yanatoka tunafunga na kusali tuuh kitaha sio poaMpaka sasa maombi ya vyuo yaliyofunguliwa ni kwa vyo vya afya. Je, vyuo vingine apart from Afya maombi yanafunguliwa lini? Mwenye taarifa anijuze.
NACTE tunaomba majibu!
Nioneshe wapi ulipoandika watoto wa ndugu jamaa na marafiki(extended families..)nimesema ni watoto wa ndugu na jamaa na marafiki, Hujui extended families? Umemaliza Diploma? certificate?
ahsante mkuu, najitahidi kuwa makini kwa ajili ya ndugu yangu, hata hivyo ni ukweli kuwa safari hii fomu yao hakuna kabisa taarifa ya akaunti......nimeangalia mara kuangalia!Mkuu, kama vyuo vya lita Account ya malipo inakuwa moja tu ya Lita agent na inapatikana kwenye form humohumo.
Kuwa makini kuchunguza, hv vitu Nina experience navyo(Nishawahi omba vyuo vya Lita na nilichaguliwa kampasi ya Buhuri-Tanga, japo sikuwahi kusoma nilienda kozi nyingine nilyokuwa interested nayo zaidi. Me katka kusoma kwangu mambo yawao.uo nafuatilia mwenyewe kabisa, Mzee hana habari kabisa ila nashukuru imenifanya niwe gwiji wa kila kitu hakuna mambo yanayonisumbua kwenye hv vitu. Sometimes nawasikitikia sana hawa vijana wanaotegemea kila kitu wafanyiwe na madingi wao.