Msaada Tafadhali: Namna ya kutoa lebo kwenye chupa

bintishomvi

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
1,164
Reaction score
833
Habari wapendwa, naomba ujuzi wa kutoa ya lebo ya kwenye chupa mfano Heineken na Windhoek ili nipate unafuu maana natumia muda mwingi kutoa na nachelewa kupata pesa wateja nawachelewesha.
 
maana natumia muda mwingi kutoa na nachelewa kupata pesa wateja nawachelewesha.

hzo lebo ukitoa then unauza chupa au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…