Msaada tafadhali namna ya kuwasiliana na Airtel Huduma kwa wateja

Msaada tafadhali namna ya kuwasiliana na Airtel Huduma kwa wateja

nelaizer

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
818
Reaction score
283
Pls naomba mnisaidie namna ya kuwasiliana na airtel huduma kwa wateja, nimejaribu kupiga 100 lakini hamna namba ya kuongea na muhudumu, asanteni
 
hata mimi pia nahangaika sioni huduma hio ya kuongea na wahudumu moja kwa moja
 
Back
Top Bottom