Msaada tafadhali nikijaribu kutuma maombi Tamisemi taarifa za chuo zinagoma

Msaada tafadhali nikijaribu kutuma maombi Tamisemi taarifa za chuo zinagoma

DAGHI

Senior Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
186
Reaction score
401
zina load muda mrefu then UNDEFINED.. see attachment
 

Attachments

  • 1.PNG
    1.PNG
    7.4 KB · Views: 8
  • 2.PNG
    2.PNG
    17.7 KB · Views: 10
Relax.., then funguka zaid tukusaidie
 
Relax.., then funguka zaid tukusaidie

Mkuu nami pia naomba usaidizi..

sehemu ya taarifa za chuo, ukifika kwenye mwaka inakuandikia

UNIDENTIFIED
NB. format ya kuandika Nacte reg no.
 
Relax.., then funguka zaid tukusaidie
Yaani nikijaza taarifa za chuo inaload alafu inaandika undefined sasa sijajua tatizo lipo upande gani mkuu..
 
Kuna vipengele umechanganya wakati wa kujaza
 
Vijana wangu mnapojaza hizo fomu mtandaoni muwe makini sana, naona waliounda huo mfumo wameuboresha uzuri, sababu ukikosea kidogo mfumo unakataa.

Na hakikisha uwe na documents zote kwenye flash ukiwa ume_scan colored na zisizidi 2mb, pale kwenye kuchagua shule nakushauri chagua skuli za vijijini huko ambako kuna uhaba wa walimu.

Ukichagua mjini unakuta waombaji 68 na mahitaji ni walimu 2.
 
Back
Top Bottom