Vijana wangu mnapojaza hizo fomu mtandaoni muwe makini sana, naona waliounda huo mfumo wameuboresha uzuri, sababu ukikosea kidogo mfumo unakataa.
Na hakikisha uwe na documents zote kwenye flash ukiwa ume_scan colored na zisizidi 2mb, pale kwenye kuchagua shule nakushauri chagua skuli za vijijini huko ambako kuna uhaba wa walimu.
Ukichagua mjini unakuta waombaji 68 na mahitaji ni walimu 2.