McFerson
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,166
- 2,322
Salama wakuu
Ni hivi, umri unaenda naelekea miaka 30 maumbile yangu (kichakatio) hayaridhishi(membamba na mafufupi). Yaani hata sina confidence mbele ya demu nikiwa naked.
Sasa baada ya kutembelea Instagram muda mrefu na kukutana na matangazo ya kukuza mshedede nimevutiwa sana nikaona sio mbaya niagize. Lakini kabla ya kuagiza nikaona ni bora niwashirikishe watu wangu wa familia ya JF huenda wakanishauri zaidi au kunielekeza dawa nzuri ili nipunguze kujinyanyapaa
Natanguliza shukran