Msaada tafadhali: Nina kibamia

McFerson

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,166
Reaction score
2,322
Salama wakuu

Ni hivi, umri unaenda naelekea miaka 30 maumbile yangu (kichakatio) hayaridhishi(membamba na mafufupi). Yaani hata sina confidence mbele ya demu nikiwa naked.

Sasa baada ya kutembelea Instagram muda mrefu na kukutana na matangazo ya kukuza mshedede nimevutiwa sana nikaona sio mbaya niagize. Lakini kabla ya kuagiza nikaona ni bora niwashirikishe watu wangu wa familia ya JF huenda wakanishauri zaidi au kunielekeza dawa nzuri ili nipunguze kujinyanyapaa

Natanguliza shukran
 

Bro una inch ngap?
 
Wewe ukishamwaga habari ya kibamia atajua yeye,mimi nina nchi 3 na nusu ila sijawahi kuwaza kuongeza maumbile.Hawa wanawake wa bongofleva hata uwe na nchi 45 bado watahitaji uongeze nchi 6 za ziada.Nasema wewe hakikisha unamwaga tu habari ya kibamia mwachie aliekuumba maana ukijikosoa utadhani ulijiumba wewe matokeo yake utatamani yale mambo ya upinde wa mvua
 

Bro umenipa confidence na mi pia 🤌[emoji2534][emoji1430][emoji1430]
 


Kuna kitakayemtosha hichohicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…