Msaada tafadhali: Nina kibamia

Mkuu mwanamke anahitaji kuridhishwa na sio ukubwa maumbile. Unataka kusema ukiwa na maumbile makubwa basi mwenza wako anaridhika??

Na ni ukweli kua kama ilivyo kwa wanaume na wanawake pia size za maumbile yap ni tofauti.

Usimtishe jamaa, wanawake hata humu ni wawazi sana kua wanataka kuridhika na sio hogo la jang'ombe ambalo hujui kulitumia.

Na hapo juu nshakwambia hii Tz dushe zetu wengi no za wastani, west Africa ndo wana dushe za kwenda. Yaani hapa Tz demu asikutishe eto kakutana na dushe kama mguu wa mtoto ni 2 kati ya 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…