gambakhuffu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2010
- 488
- 504
ukiwasha gari na kuondoka si vinazima?View attachment 463758View attachment 463759View attachment 463760View attachment 463761View attachment 463762
Habarini wanajamvi!
Naomba msaada wenu kwa alama hizo kwenye viambatanishi kwani zimeanza kuonekana hivi karibuni kwenye gari yangu.
Na baada ya maana yake nini cha kufanya kukabiliana na na alama hizo.
Vile vile taa nikiwasha kwenye dash board inaonekana giza tu
Nadhani msaada nitaupata hapa jukwaani.
Nawasilisha
Kila kitu cha kusomea?Dereva uchwara
100% udereva wako hujasomea pole
Katika basics za udereva, ni lazima dereva ajue hizo alama/viashiria na maana yake. Kutojua hivyo viashiria ni uzembe wa dereva na kunahatarisha usalama wa gari lako.Kila kitu cha kusomea?
Akili gani hii?
Sawa.Katika basics za udereva, ni lazima dereva ajue hizo alama/viashiria na maana yake. Kutojua hivyo viashiria ni uzembe wa dereva na kunahatarisha usalama wa gari lako.
Sasa ndio umemsaidia nini hapa???Dereva uchwara
100% udereva wako hujasomea pole
Basi toa maana ya taa, kusoma sio kuongeza akili ila ni kupunguza ujingaKila kitu cha kusomea?
Akili gani hii?
Mimi hamjanielewa jamani. Sijakataa masuala ya kusoma ila kuna mdau hapo juu kamwambia jamaa dereva uchwara, jamaa ni kweli hajui ndio maana ameuliza, ni suala la kumsaidia tu na si kuanza kumrushia maneno. Mwanao au mtu akikufata live akaomba msaada kama huo utaanza kumwambia wewe ni ...uchwara badala ya kumpa msaada? Au kwa sababu kaulizia mtandaoni?Basi toa maana ya taa, kusoma sio kuongeza akili ila ni kupunguza ujinga
Mf ww unaakili sana ila unaujinga ndani yako ambao ulitakiwa utolewa driving school ili ujue maana ya taa naimani hata sheria 10 za udereva huzijui.
Ntakusaidia kaka hizo ni changamoto tuMimi hamjanielewa jamani. Sijakataa masuala ya kusoma ila kuna mdau hapo juu kamwambia jamaa dereva uchwara, jamaa ni kweli hajui ndio maana ameuliza, ni suala la kumsaidia tu na si kuanza kumrushia maneno. Mwanao au mtu akikufata live akaomba msaada kama huo utaanza kumwambia wewe ni ...uchwara badala ya kumpa msaada? Au kwa sababu kaulizia mtandaoni?
Na ni kweli hizo sheria sizijui wala hujakosea, ingependeza sana uniandikie angalau hizo kumi unitoe ujinga.
Haya kaka, usisahau kuniandikia basi.Ntakusaidia kaka hizo ni changamoto tu
Una maneno ya kuny..a wewe! Jitu zima hovyo.Maana yake "mtumba ulionunuwa ume expire, peleka scrap yard".