Msaada tafadhali: Nini maana ya alama hizi kwenye dashboard

Mwanzo nilitamani kujibu ila nilihisi anatupima tu akili.. Maana taa zote zilivyo na gari halijawashwa ni kawaida kuwa hivyo labda kama alichomaanisha tumemuelewa tofauti
 
Una maneno ya kuny..a wewe! Jitu zima hovyo.


Unafikiri nnakutania? Fanya uchunguzi utakuta 90% ya hii mitumba ya Japan inayoletwa Tanzania huko kwao imefikia muda wa kuwa kuitunza ni gharama kubwa kuliko kuipeleka scrap yard.

Kenya walistukia hilo na kwa uda mrefu sasa marufuku kuingiza ya miaka (nadhani mitano) nyuma.

Hiyo imesha expire, hata ukikasirika huo ndiyo ukweli.

Sina haja ya kuremba-remba na kudanganyana humu.
 
huyo ni mwehu ila hana cheti cha Mirembe................


Haya iwacheni tu iwe "riziki" ya mafundi wa bongo. Huko ilikotoka ilikuwa inapelekwa scrap yard, akatokea mjanja mmoja akainunuwa kwa bei ya scrap yard akijuwa kuna Wajinga Ndiyo Waliwao huko Tanzania.
 

Kumbe na wewe pia huwa unachapia bibi? Nilifikiri elimu yako ni bora zaidi
 
Haya iwacheni tu iwe "riziki" ya mafundi wa bongo. Huko ilikotoka ilikuwa inapelekwa scrap yard, akatokea mjanja mmoja akainunuwa kwa bei ya scrap yard akijuwa kuna Wajinga Ndiyo Waliwao huko Tanzania.
umejuaje..............au we ni ''mwanga''
 

Washa gari piga picha tena rusha hapa.

Hapo gari hujaliwasha bado.
 
umejuaje..............au we ni ''mwanga''


Soma kijana utafaidika, gari hiyo imeshaingia kwenye kundi linaloitwa ELV, End of Life Vehicle, kabla halijaletwa Tanzania.


Unajuwa Watanzania wengi sana, mnapoelimishwa mnakuwa wabishi sana, badala ya kulifanyia kazi japo kiduchu suala mnalofahamishwa badala yake nyinyi mnabisha kijinga tu.

Tena kwa kukujuza tu, Japan kuna sheria kabisa ya kupeleka haya magari scrap yard au kuwapelekea Wajinga Ndiyo Waliwao, akina nyinyi hao.

Mnazidi kunihakikishia kuwa mlioenda shule kusomea ujinga ni wengi sana. Jisomee:

The Recycling of End-of-Life Vehicles in Japan|JFS Japan for Sustainability

Faidika na darsa la FaizaFoxy waJF.
 
kumbe we ni mrundi....tatizo kila kitu unajifanya unajua.....ujanja ukiuzidisha mwishowe utaitwa mshamba- Fid Q
 
kumbe we ni mrundi....tatizo kila kitu unajifanya unajua.....ujanja ukiuzidisha mwishowe utaitwa mshamba- Fid Q

AlhamduliLlah, nnavijuwa vingi sana kuliko unavyofikiri.

Uliyajuwa hayo ya ELVs kabla ya kunisoma?

Bado hata kujitoharisha hamjuwi halafu mnataka kushindana.

Watanzania kazi kusifiana ujinga tu, mnapoambiwa kweli mnaona mtu anajifanya anajuwa.

Mimi haya nnayajuwa kweli na si uongo na mengine mengi sana zaidi yako.

Punguani wahed.
 
Nawashukuru kwa ushauri wenu wanandugu wa jf.
Kiukweli ushauri wenu pamoja na elimu toka kwenu imeniongezea vitu ambavyo awali sikuwa nafahamu.

Nimefanya majaribio ya kadha wa kadha kwa kuwasha na kuzima na majibu nimeyapata kama mlivyonishauri na angalau roho yangu sasa imenitulia maana kuhusu magari mi sijui lolote ila kupitia jf nimejifunza mengi kwa kweli ila ushauri na maoni ya dada faizafoxy mhh.

Ila yote ni maoni na nawapenda nyote.

Ahsanteni

Gambakuffu
 
kweli hijui
 
Hapo kuna alama nyingi ambazo kukuelewesha ni shida kidogo kwenye kuzitofautisha moja baada ya nyingine kwenye maelezo lakin nadhan utaelewa:
1.Hiyo hapo juu yenye mduara na kama vistari pembeni kulia na kushoto na kimshangao katikati ina maanisha uchunguze brake system kwenye gari yako.
2.halafu hicho kinacho onekana kama umbo la kengele na kistari kimekata maana yake abiria wako upande wako wa kushoto kwako au kulia kulinganga na upande wa steering iko upade gani hajafunga mkanda.
3. Halafu hiyo alama ya njano kama umbo lapembe pembe hiyo ni engine check kwamba unatakiwa kuicheck engine.
4. Halafu hiyo inayo onesha kam vitone vinadondoka kwenye beseni ( mfano). hiyo ni oil check kwa maana yaweza kuwa imepungua au imechafuka yakubadilisha nyingine au kuna shida kwenye mzunguko wa oil labda oil pump haipandishi oil juu hivyo sensor kuhisi oil imeisha au chache
5. Hiyo iliyo kama battery ina maanisha kwamba kuna shida kwenye mfumo wa umeme hasa battery yaweza kuwa haicharge au haipokei moto kutoka kwenye magneto au alternator au loose connection kwenye terminals au battery imekufa nk.
6. Hiyo inayo onesha kama gari imefunguliwa milango ina maanisha kuna mlango mmoja wapo katika gari yako haujafungwa vizuri kulingana na idadi ya milango kwenye gari yako

NB:MARA NYING NA KWA GARI ZILIZO NYINGI ALAMA HIZI HUWA PALE GARI INAPO KUWA ON, ILA UKISHA IGNITE ENGINE KWA MAANA GARI IKISHA WASHWA HUWA HIZO ALAMA ZINAZIMA ZENYEWE, NA KAMA UKIONA ALAMA HIZO ZINAWAKA HATA GARI IKIWA ANATEMBEA BASI UNATAKIWA KUZINGATIA MAREKEBISHO.

HIVYO NDIVYO NIJUAVYO MIMI.
 
Sheria mimi nnazo japo kidogo zitakusaidia...Tafuta namna jinsi ya kukutumia coz zipo inform of pdf (soft copy)
 
Sasa ndio umemsaidia nini hapa???
Ulitaka ampe msaada gani zaid ya huo... tatizo tunapenda kulea ujinga... lazima tujue kuwa Udereva ni taaluma na ina weredi wake, sasa huyu kukokota chomba hajui hata alama inatomwonesha hajafunga M/milango hilo ni balaa...
Tuanzie wapi kumshaur zaid ya kumshaur akasome tu, afu ni muda mfupi lkn muhimu sana kwake, anaowabeba na pia sisi tunaopishana nae...
Dereva Uchwara 100%....
 
Ipo ivyo man watu wanapenda maneno mepesi lkn kuna mambo mawili Huwa hatafichiki kamwe... Ukweli na Jua[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…