Nishauri mkuu namna ya kuwaondoacorona hiyo mkuu
Naunga mkonyo hoja funga led light huko darin watahama woteWeka taa ndani ya dari.
Muda wa kuiweka iwe ni jioni.
Pindi wao wametoka.
Weka hizi taa nyeupe.
Wacha ziwake mchana kutwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawapendi taa?Weka taa ndani ya dari.
Muda wa kuiweka iwe ni jioni.
Pindi wao wametoka.
Weka hizi taa nyeupe.
Wacha ziwake mchana kutwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawapendi mwanga.Hawapendi taa?
Mmmh kwaniniHawapendi mwanga.
Navyopenda miti mimi na greenish, siwezi kukata aseeMkuu kata miti jirani na kwako, hususani miembe
unapenda miti safi sana....Navyopenda miti mimi na greenish, siwezi kukata asee
Siku nyingine napandaga juu ya mti naenjoy balaa
weka taa nyeupe darini,
hao popo baada ya mda wanageuka kua vampires
Nashukuru kwa ushauri,nimeanza kufanyia kazi. Nitaleta mrejeshoWeka taa ndani ya dari.
Muda wa kuiweka iwe ni jioni.
Pindi wao wametoka.
Weka hizi taa nyeupe.
Wacha ziwake mchana kutwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
niambie aina ya dawa,wapi inapatikana.mkuu dawa ipo ila ni bei 150000 hawarudi nimefanya sana hii kazi
Fanya idea ya Taa kwanzaa hivi vingine utalia sasa hivi[emoji23]niambie aina ya dawa,wapi inapatikana.