Msaada tafadhali: Popo wamehamia kwenye nyumba yangu

Kamata nyoka jamii ya chatu wa size tupia darini akiwa maliza na yeye mfanye supu inakuwa poa sana
 
Hiyo namba 8 inanihusu. Usiku utawaona wanazurura tu kuuzunguka huo mti
 
Popo wana harufu mbaya sana wakiwa nyumbani kwako, fanya uwezalo uwatokomeze mkuu!
 
Sasa kwa mfano wakiondoka halafu ukiizima hiyo taa si watarudi tena?ingekuwa ni mimi ningewapiga ile ya pilipili wangeisoma namba
Kama umenisoma vizuri nimesema "IWAKE MUDA WOTE"
Hiyo taa ya pilipili ndio ipi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…