Hapo kwenye sabufa akiweka wimbo wa Cabo Snoop Prakatatumba hata popo bawa hatoboi.Hilo la udi na ubani nimewahi kusikia pia na hata la taa lifanyie kazi. Kuna sehemu niliona watu wanajadili facebook ngoja nikaokote nondo nikuwekee hapa uzifanyie kazi. Pia kuna watu wanashauri usage pilipili na kumwaga unga wake wanapoishi. Nasikia ukiwaingia machoni hawaponi
Nimepitia sehemu walikuwa wanajadili na maoni ni kama ifuatavyo:
1. ziba njia zote wanazoingilia popo kisha changanya grisi na ugoro paka sehemu zote wanapenda kukaa
2. Chukua magunzi ya mahindi yachome ule moshi wake utawasambaratisha wote
3. Funga taa za LED mbili tu darini wataondoka wote
4. Washa pilipili kavu kwenye jiko weka darini. Wakitoka paka grisi walipotokea utawaona
5. Nunua kiatirifu yaani sumu iitwayo LAVA kichupa kidogo cc100 changanya yote kwa lita 5 za maji kisha spray darini
6. Chukua mafuta ya taa lita moja tafuta pakti tano za sabuni ya omo halafu changanya na maji lita ishini kisha mwaga walipo popo wataondoka milele hawatarudi
7.Nunua steel wire ziweke sehemu wanazoingilia na wanapolala watakimbia utawaona tena
8. Kuna miti inatoa matunda madogo madogo mekundu yanapendwa sana na popo kama ipo karibu na kwako hawatahama kamwe
9. Weka sub woofer darini fungulia mpaka mwisho watakimbia maana hawapendi kelele
10. Ugoro. Koroga ugoro mwaga darini utanishukuru baadae
Nimechukua maoni kumi bora nadhani ukiyatumia haya utatuletea mrejesho pia usisahau kunipa fungu la kumi (10%)
Kuna nyumba ilikuwa imevamiwa na nyuki Kuna siku huamua kuuma watu wakafanya Mambo ya kiasili wakasepa zaoHakika wataondoka tu, akishindwa kabisa apige maombi watakuwa wakichawi hao!
Asante sana kwa ukarimuHilo la udi na ubani nimewahi kusikia pia na hata la taa lifanyie kazi. Kuna sehemu niliona watu wanajadili facebook ngoja nikaokote nondo nikuwekee hapa uzifanyie kazi. Pia kuna watu wanashauri usage pilipili na kumwaga unga wake wanapoishi. Nasikia ukiwaingia machoni hawaponi
Nimepitia sehemu walikuwa wanajadili na maoni ni kama ifuatavyo:
1. ziba njia zote wanazoingilia popo kisha changanya grisi na ugoro paka sehemu zote wanapenda kukaa
2. Chukua magunzi ya mahindi yachome ule moshi wake utawasambaratisha wote
3. Funga taa za LED mbili tu darini wataondoka wote
4. Washa pilipili kavu kwenye jiko weka darini. Wakitoka paka grisi walipotokea utawaona
5. Nunua kiatirifu yaani sumu iitwayo LAVA kichupa kidogo cc100 changanya yote kwa lita 5 za maji kisha spray darini
6. Chukua mafuta ya taa lita moja tafuta pakti tano za sabuni ya omo halafu changanya na maji lita ishini kisha mwaga walipo popo wataondoka milele hawatarudi
7.Nunua steel wire ziweke sehemu wanazoingilia na wanapolala watakimbia utawaona tena
8. Kuna miti inatoa matunda madogo madogo mekundu yanapendwa sana na popo kama ipo karibu na kwako hawatahama kamwe
9. Weka sub woofer darini fungulia mpaka mwisho watakimbia maana hawapendi kelele
10. Ugoro. Koroga ugoro mwaga darini utanishukuru baadae
Nimechukua maoni kumi bora nadhani ukiyatumia haya utatuletea mrejesho pia usisahau kunipa fungu la kumi (10%)
Tafuta mganga afanye zindiko kijijini kwenu lazima wachawi wengi, hao sio popo ni mitungeNimejenga kijijini kwangu, kuna vichaka vimenizunguka ambako ni makazi ya ndege na baadhi ya wanyama,wakiwemo popo.
Tatizo ni kwamba popo wengi wanaishi juu ya dari ya nyumba. Usiku ni makelele,wanachafua dari kwa vinyesi na mikojo.
Nilijaribu kumpandisha kijana darini mchana akiwa amefunga tochi kichwani,walimpiga balaa.
Naomba msaada wa namna ya kuwaondoa hawa wanyama.
Sio taa ya pilipili,namaanisha ningeichoma pilipili na kumwagia huko wanapokaa.Kama umenisoma vizuri nimesema "IWAKE MUDA WOTE"
Hiyo taa ya pilipili ndio ipi mkuu?
Hahaha aisee hii ya pilipili ndio naisikia?Sio taa ya pilipili,namaanisha ningeichoma pilipili na kumwagia huko wanapokaa.
Hiyo ya kuwasha taa kila siku mahali ambapo hupatumii ni hasara
Hahaha aisee hii ya pilipili ndio naisikia?
Ulishawahi kuifanya hii na ikaleta matokeo chanya?
Je pilipili ya kuchoma ina uwezo wa kufukuza wadudu na wanyama wa aina gani?
Naomba nije nikupandishe Siku moja Diana juu ya mti?Navyopenda miti mimi na greenish, siwezi kukata asee
Siku nyingine napandaga juu ya mti naenjoy balaa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]weka taa nyeupe darini,
hao popo baada ya mda wanageuka kua vampires
Kama ni kijijini usihangaike sana mkuu, kuna dawa yao mabayo hata haihitaji gharama. Kwenye yale matundu wanayopita, ziba na kinyesi cha ng'ombe mkuu, nakuhakikishia watahama na hutowahi hata kuhisi uwepo wao. Utanishukuru baadayeNimejenga kijijini kwangu, kuna vichaka vimenizunguka ambako ni makazi ya ndege na baadhi ya wanyama,wakiwemo popo.
Tatizo ni kwamba popo wengi wanaishi juu ya dari ya nyumba. Usiku ni makelele,wanachafua dari kwa vinyesi na mikojo.
Nilijaribu kumpandisha kijana darini mchana akiwa amefunga tochi kichwani,walimpiga balaa.
Naomba msaada wa namna ya kuwaondoa hawa wanyama.
Walokole banaUishaingiliwa nyumba yako imeshakuwa stoo ya mapepo
POPO HUWA HAWAONI. YALE MACHO SI YA KUONEA KITU YANA KAZI NYINGINE SIIJUII. Huo mwanga hautawafukuza. Nashauri wapulize ile dawa E40 huko kwenye dari.nimepiga ktk mwembe hao walikimbia maana walikuwa wanakula maembe machanga na kupunguza mazao.AVAE MASK ILE MAALUM AKIWA ANAPULIZIA. Harufu ya dawa hii inawafukuza. Hakikisha haiingii ndani ya vyumba. Wasiliana na wataalamu namna ya matumiziHawapendi mwanga.
Weka wavu kwenye breathersNimejenga kijijini kwangu, kuna vichaka vimenizunguka ambako ni makazi ya ndege na baadhi ya wanyama,wakiwemo popo.