Kuna baba yangu mdogo anamtafutia mwanae shule ya msingi hizi za bording kwa hapa Dar es salaam.
Ziwe English medium na mtoto mwenyewe ndo anaingia darasa la pili next year, 2013 kwenye moja ya shule huko mkoani.
Naombeni kwa hapa Dar mtu anayejua shule nzuri kwa ajili ya mtoto huyu aniambie. Maana nimepewa kazi hii ya kutafuta na mimi sina ujuvi wa Shule za hapa Dar.
Natanguliza shukrani za dhati