Msaada tafadhali RAV 4 kill time taa ya ABS

KIBUYUSAFI

Senior Member
Joined
Dec 22, 2015
Posts
104
Reaction score
51
Ndugu wana jamvi gari yangu inawasha taa ya ABS sio mara zote ila ukiwa safari ndefu ndio taa inawaka nikisimama nazima gari halafu nawasha na taa haiwaki tena hadi muda mwengine tena ukitembea muda inawaka
 
ABS ni mfumo wa brakes sio tatizo kubwa sana, kuna hitilafu kwenye mfumo wake ingia garage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…