Msaada tafadhali: Ugonjwa wa ngozi sijui.

Mugabe one

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
2,327
Reaction score
1,683
Tafadhali naombeni msaada kuna Mtoto wa rafiki yangu ana ugonjwa pengine niute wa ngozi, pembezo mwa unyao wa kila mguu amechanika chanika sana kama Yale wanayaita masagamba!
Dawa IPI inafanyakazi ili imsaidie aendelee Na shule yake ya msingi darasa la NNE.
 
Dawa ya masagamba ni kusafisha miguu na jiwe kuondoa ngozi ngumu kila siku, paka Vaseline baada ya kusafisha na kukausha miguu na ulale na socks kama utaweza.
 
Dawa ya masagamba ni kusafisha miguu na jiwe kuondoa ngozi ngumu kila siku, paka Vaseline baada ya kusafisha na kukausha miguu na ulale na socks kama utaweza.
Hayo nadhani siyo masagamba, maana ni Mtoto MDOGO,kwa ufahamu kwangu masagamba hutokea kwa wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…