Msaada tafadhali, upele umeota mkononi

Mukuu123

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2019
Posts
319
Reaction score
1,223
Habari za saa hizi wakuu?

Ni kama week ya tatu na kipele kimetoka mkononi nikikamua kinarudi tena, hakiumi hata kidogo. Je, wataalamu hii inaweza kuwa nini?

Wasio na majibu naomba mkae kimya.

Kama unahofu nahisi ni busara zaidi kwenda hospitali.

Mtandao ni sehemu mbaya kabisa kutaka kujua ugonjwa wako. Unaweza ukapata pressure.

Japo kimuonekano kinaokana ni kipele cha kawaida tu na ikiwa hakiumi basi kipotezee.
 
Asante kwa ushauri
 
Ukigoogle ndiyo utajipa presha zaidi.

Kuna ugonjwa wa ngono mtu anatokwa vipele pia nafikiri so nenda hospital
 
Ukigoogle ndiyo utajipa presha zaidi.

Kuna ugonjwa wa ngono mtu anatokwa vipele pia nafikiri so nenda hospital

Ni kipele kimoja tuu icho Asante Kwa ushauri pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…