GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,432
- 5,864
Wakuu poleni na majukumu!
Moja kwa moja naomba msaada kuunganishwa na mafundi wanaodeal na Simu na Computer jijini Mwanza, ili niweze kujishikiza maana life limenikaba au kama kuna mtu anaweza kutudhamini mimi na jamaa yangu Tufungue ofisi ya kurepair simu na Computer hapa Mwanza.....vitu nilivyo navyo ni laptop,screw driver kit,Gun soldering iron, nina basic certificate short course ya vsomo upande wa simu....nilisoma hii course pia veta kipawa Muda kidogo....certificate ya IT...nilikuwa nafanya kazi ya mambo ya bima katika hospitali....sikuwahi fungua ofisi,
Kwa sasa nipo mtaani tena ugenini hapa Mwanza....msaada please!
0768195006.