Msaada tafadhali wa chaguo la ujenzi wa nyumba

Joined
May 13, 2014
Posts
90
Reaction score
102
Habari za kwako mpenzi msomaji na mwanachama wa Jamvi la hoja mchanganyiko. Mie ninahitaji kuanza kujenga kibanda changu na mimi, hebu naomba mnisaidie katika ya Nyumba hizi ipi ni nafuu katika gharama za ujenzi.
Nyumba A

Nyumba B

05DA83CE-816A-4430-A7A1-BBFE6C296888.jpeg
75825669-A5CD-4B54-BC9A-1EDD2B215708.jpeg
 
Kati ya hizo hakuna yenye nafuu. Hizo nyumba ni kubwa. Hiyo A nahisi ni vyumba vitatu.

Labda kama unaanzia m.50.

Ila kama ni 30 kushuka chini, tafuta ramani nyingine.

Ukizingatia kwasasa vifaa vya ujenzi viko juu. Au ungesema unataka nyumba ya kuanzia sh ngapi kutegemea na mzingira then utafanyiwa tathmini.

Ila hivyo sio vibanda mkuu!
 
Hapo lazima ulie
 
Habari za kwako mpenzi msomaji na mwanachama wa Jamvi la hoja mchanganyiko. Mie ninahitaji kuanza kujenga kibanda changu na mimi, hebu naomba mnisaidie katika ya Nyumba hizi ipi ni nafuu katika gharama za ujenzi.
Nyumba A

Nyumba B

View attachment 2321773View attachment 2321776
Gharama nafuu utatoa kitu cha ajabu ajabu, Ramani ya kwanza ni nzuri zaidi kwa mtazamo wangu...nenda kwa awamu...ukipiga paa unaweza fanya finishing kwa awamu ukiwa ndani tayar mfano...
Unaweza fanya wiring, plasta na skimming, malizia tiles vyoo vyote na funga milango chini kaka budget haitoshi pawe na zege tu unaweza hamia...
Ukipata hela unaweka tiles na kupaka rangi
 
Hapo nyumba ni A mbaba! Jichange una nyanyua mdogo mdogo.Ujenzi n hatua.
Mkuu nimependa design A hyo.msaada wa floor plan kama hutajali
 
Anza kujenga hiyo "A"
Achana na wajuaji uchwara wanakutisha lazima uwe na mamilioni ya pesa... Ukiwa na million 30 unajenga nyumba ya vyumba vi3 unahamia, ENDAPO TU KAMA utafanya utafiti wa kutosha kuhusu materials, mafundi, kiwanja chako kiwe tambalale, na ramani yako isiwe na complications... NARUDIA TENA 30M INAJENGA NYUMBA UNAMALIZA KILAKITU UNAHAMIA
 
Sahii kabisa,
Wengi humu wanapenda Sana kutishana khs ujenzi, sio gharama Kama inavozungumzwa.

Otherwise fundi wake au yeye mwnyw aamue kucomplicate ujenz wake.
 
Back
Top Bottom