The Clinical Pharmacist
Member
- May 13, 2014
- 90
- 102
Hapo lazima ulieKati ya hizo hakuna yenye nafuu. Hizo nyumba ni kubwa. Hiyo A nahisi ni vyumba vitatu.
Labda kama unaanzia m.50.
Ila kama ni 30 kushuka chini, tafuta ramani nyingine.
Ukizingatia kwasasa vifaa vya ujenzi viko juu. Au ungesema unataka nyumba ya kuanzia sh ngapi kutegemea na mzingira then utafanyiwa tathmini.
Ila hivyo sio vibanda mkuu!
Gharama nafuu utatoa kitu cha ajabu ajabu, Ramani ya kwanza ni nzuri zaidi kwa mtazamo wangu...nenda kwa awamu...ukipiga paa unaweza fanya finishing kwa awamu ukiwa ndani tayar mfano...Habari za kwako mpenzi msomaji na mwanachama wa Jamvi la hoja mchanganyiko. Mie ninahitaji kuanza kujenga kibanda changu na mimi, hebu naomba mnisaidie katika ya Nyumba hizi ipi ni nafuu katika gharama za ujenzi.
Nyumba A
Nyumba B
View attachment 2321773View attachment 2321776
Sahii kabisa,Anza kujenga hiyo "A"
Achana na wajuaji uchwara wanakutisha lazima uwe na mamilioni ya pesa... Ukiwa na million 30 unajenga nyumba ya vyumba vi3 unahamia, ENDAPO TU KAMA utafanya utafiti wa kutosha kuhusu materials, mafundi, kiwanja chako kiwe tambalale, na ramani yako isiwe na complications... NARUDIA TENA 30M INAJENGA NYUMBA UNAMALIZA KILAKITU UNAHAMIA