Msaada tafadhali wanajamvi

nuruni

Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
8
Reaction score
3
Naomba mnisaidie nina ndugu yangu amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda mrefu,alienda hospital akapimwa akakutwa na uvimbe (fibroid) akapewa dawa lakini maumivu yakawa palepale baadae akaenda tena hospital akapimwa akaambiwa ana vijiwe kwenye kibofu cha mkojo(renal calculi) ameandikiwa dawa ya kuweka kwenye maji citricsoda) nimeitafuta kwa hapa Dar nimeikosa.Kwayeyote anaejua tiba mbadala na hiyo anisaidie please.Tumbo inauma upande wa kushoto karibu na nyonga.
 
Ninadawa za mitishamba zinazoondoa uvimbe ktk tumbo na zinazotibu matatizo ya kibofu cha mkojo.kwa mengizaidi ntafute 0759217720
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…