Msaada tafadhali wanajf.

Hamisi Mzava

Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
24
Reaction score
2
Jina langu nimeliona kwenye list ya waliochaguliwa TUMAINI UNIVERSITY MAKUMIRA Arusha Na TUMAINI UNIVERSITY MAKUMIRA Mbeya Centre.Lakini Pindi niangaliapo jina langu kwenye list ya waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja HALIPO..naitwa Hamisi Shabani Hamisi..'"Hamisi Hamisi'" namba yangu ni S1080.0070.2010..nifanyaje jamani waungwana.?
 
fanya mchakato wa kuongea na TCU kwani uliapply kipi kati ya hivyo?
 
Wasiliana na TCU ili uweze kuchagua chuo kimoja unachokipenda kumbuka wamesema deadline ni september4
 
kama umeshawemail,,na ukaonyesha chuo unachokitaka,,bac we tulia utapangiwa hicho,,ila usipowajulisha,,wanakutupia chochote kati zile ulizopangiwa,,,pamoja sana,,,
 
kama umeshawemail,,na ukaonyesha chuo unachokitaka,,bac we tulia utapangiwa hicho,,ila usipowajulisha,,wanakutupia chochote kati zile ulizopangiwa,,,pamoja sana,,,

mmhh..nawewe umemaliza kidato cha sita na unategemea kwenda chuo....kwa huu uandishi..
 

kwa nilivyoona kupitia tcu umepangiwa mbeya campus ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…