msaada tafadhali wandugu, upungu nywele kichwani

msaada tafadhali wandugu, upungu nywele kichwani

mtukwao2

Senior Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
129
Reaction score
16
heshima kwenu nyote madoctor na wataalamu wetu..... Nina mdogo wangu ametokea kuwa na upungu wa nywele kichwani(kipala) katika umri mdogo anapata shida sana kwani inambidi kunyoa nyele zote kichwani angalau mara mbili mpaka tatu kwa siku mpaka namwonea huruma japo mimi binafsi naamini kipala sio ugonjwa ni mabadiliko tu yanayotokea katika mwilli. Naomba msaada wa ushauri juu ya anachoweza kufanya ili angalau zile nywele alizobakiwa nazo kichwani zisitoweke kwa yeyote atakayekuwa na ufahamu katika hilo please!!!
 
Kipara au Vipayu na huyo ndugu ana umri gani, sometimes kipara kinaanza at age of 20.
 
mimi nikifahamu kama kipara, vipayu labda kwanza niingie kwenye kamusi japo wakati mwingine zinadanganya..... kwa sasa ana umri wa miaka kama 26.
 
Back
Top Bottom