topr
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 700
- 654
Mm ninamke ambae anatatizo lakuwa mkavu kwenye maungo ya uzazi(U..K)inafikia hatua bila mafuta gemu aichezwi najitaidi kumuandaa ila bado ni mkavu tu.
Ushauri nivyakula vya aina gani vinaweza kumsaidia kuondoka na na hali hii nampenda Sana mkewangu na sitaki kuchepuka.
Ushauri nivyakula vya aina gani vinaweza kumsaidia kuondoka na na hali hii nampenda Sana mkewangu na sitaki kuchepuka.