Tafadhali Mods, hii thread iende JF Doctor! Invisible please!Mm ninamke ambae anatatizo lakuwa mkavu kwenye maungo ya uzazi(U..K)inafikia hatua bila mafuta gemu aichezwi najitaidi kumuandaa ila bado ni mkavu tu.ushauri nivyakula vya aina gani vinaweza kumsaidia kuondoka na na hali hii nampenda Sana mkewangu na sitaki kuchepuka.
Mwambie ahamishe mawazo wakat wa tendo
Fuata huo ushauri waliotowa watu utafanikiwa wewe kabla hujaanza kufanya nae mapenziMm ninamke ambae anatatizo lakuwa mkavu kwenye maungo ya uzazi(U..K)inafikia hatua bila mafuta gemu aichezwi najitaidi kumuandaa ila bado ni mkavu tu.ushauri nivyakula vya aina gani vinaweza kumsaidia kuondoka na na hali hii nampenda Sana mkewangu na sitaki kuchepuka.
Mkuu HARUFU Hujambo lakini?
Mm ninamke ambae anatatizo lakuwa mkavu kwenye maungo ya uzazi(U..K)inafikia hatua bila mafuta gemu aichezwi najitaidi kumuandaa ila bado ni mkavu tu.ushauri nivyakula vya aina gani vinaweza kumsaidia kuondoka na na hali hii nampenda Sana mkewangu na sitaki kuchepuka.
Mpakaze huyo mpenzi wako hayo mafuta ya Zaituni (Olive Oil) kwenye Papuchi yake basi utaweza kuingiza hilo Dushelele lako kwa urahisi bila ya kupata maumivu wewe na mpenzi wako fanya hivyo kisha uje unipe Feedback ukikosa hayo mafuta ya Zaituni tumia hata mafuta ya nazi pia ni Tosha Mkuu.Asante mzizi mkavu vyoote ulivyo andika apo nimevifanya bila mafanikio,goja tutumie ayo mafuta ya olive oil nyakupa mrejesho