Msaada tafadhali

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,273
Reaction score
13,567
Naamini mu wazima,

Naomba msaada wa kujua dawa ya Utango tango mwilini,nina ndugu zangu wameathirika sana na huo ugonjwa unaofanana na mapunye,wametumia dawa mbalimbali lakini bado shida ipo.

Pia mimi mwenye nina mba za kutosha kichwani,japokuwa sina nywele ndefu lakini mba zimekuwa nami bega kwa bega,naomba kujua dawa ya kumaliza tatizo hili pia.

Nasubiria msaada wenu.

Asanteni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…