Habari zenu wapendwa nawaomba munisaidie tatizo langu najihisi kua ni mjamzito mana dalili zote za ujauzito ninazo na hapa chini ya kitovu pameanza uvimbe.
Tatizo langu nikwamba napata hedhi kama kawaida tarehe inapofika ispokua haina maumivu yoyote tofauti na siku za nyuma
Je hii ni hali ya kawaida? na kama ni tatizo naweza kupata matibabu? kwa sababu nilishawahi kuweka kijiti nahofia isijekua ndio chanzo cha hili tatizo kwani mimba ya mwanzo sikupata hedhi hata mwezi mmoja.