timothy salehe
New Member
- Aug 4, 2014
- 2
- 0
Jaman mm nasumbuliwa na maumivu ya misuli na koo kuuma na kuhisi kama kuna kitu kimenikaba, vichomi mwili mzima pamoja na mwili kuwasha halafu natoka vipele na pia kukosa nguvu kabisa yani. Naombeni msaada wenu.